Kuflash hii simu

Kuflash hii simu

255mkombozi

Senior Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
106
Reaction score
13
Vodafone vf685 inawezekana kuiflash ni weze kutumia line zote?
 
sizani maana nilishaenda vodafone wakasema aiwezekani labda tusubiri wataalamu
 
Utapata unlock codes Ndania ya Dakika 5

Inatakiwa vitu viwili ili kupata unlock codes
1. IMEI number piga *#06#
2. Provider ID - Angalia nyuma ya simu baada ya kuondoa betri, Imeandikwa hivi V6xx-xxxZ1

WEka hizo taarifa mbili kwenye hii link >>| https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ing-phone-by-imei-number-20.html#post12374770
Vodafone vf685 inawezekana kuiflash ni weze kutumia line zote?

sizani maana nilishaenda vodafone wakasema aiwezekani labda tusubiri wataalamu
 
Inawezekana Bila ya gharama yeyote fanya hivi. Inatakiwa vitu viwili ili kupata unlock codes

1. IMEI number piga *#06#

2. Provider ID - Angalia nyuma ya simu baada ya kuondoa betri, Imeandikwa hivi V6xx-xxxZ1 Tuma imei namba na provider Id kwenda 0687387545 sms utapata unlock code bure
 
Back
Top Bottom