Most economical Tigo bundles and Packs?

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
408
248
Wakuu niaje,
long time sijapost chochote maana niko busy vibaya mno though huwa napita pita siku moja moja...

Nina swala moja tu leo ambalo ningependa ushauri wenu kwa faida ya kila mtu...

Ishu ni kwamba, wewe kama mtumiaj wa tigo je ni kifurush gani unaona ni more economical? Hapa tutoe vifurush kama vya chuo ambavyo ni vya sehemu specific na vile vya mwaka pia ambavyo navyo ni kwa baadhi ya mikoa,

Mfano niliona mtu mmoja akipata kifurush cha dakika 30 kwa sh 500 wiki nzima na pia sometimes mpaka free texts wiki nzima bure kwa kutuma codes kama Bc au Sm kwenye namba 15732.

So kama kuna mtu ambaye ana any tricks za kupata texts na call time cheaply but at longer duration plz atufunulie ujuzi huo maana kuunga kila siku kwa sh. 500 inachosha.

So kama kuna mtu ana knowledge ya any tricks ambazo ni useful lakini mara nyingi haijulikan sana publicly plz share...

Thanks.
 
Mbona Thread imekaa kipelelezi unataka uambiwe ili mfunge hizo code!
 
Mtaani kwangu kifurushi cha,chuo. Kinakamata... Hivyo nimelemaa ..... 3000 napata DK 300 2GB.. TEXT NDO USISEME.
 
Wakuu niaje,
long time sijapost chochote maana niko busy vibaya mno though huwa napita pita siku moja moja...

Nina swala moja tu leo ambalo ningependa ushauri wenu kwa faida ya kila mtu...

Ishu ni kwamba, wewe kama mtumiaj wa tigo je ni kifurush gani unaona ni more economical? Hapa tutoe vifurush kama vya chuo ambavyo ni vya sehemu specific na vile vya mwaka pia ambavyo navyo ni kwa baadhi ya mikoa,

Mfano niliona mtu mmoja akipata kifurush cha dakika 30 kwa sh 500 wiki nzima na pia sometimes mpaka free texts wiki nzima bure kwa kutuma codes kama Bc au Sm kwenye namba 15732.

So kama kuna mtu ambaye ana any tricks za kupata texts na call time cheaply but at longer duration plz atufunulie ujuzi huo maana kuunga kila siku kwa sh. 500 inachosha.

So kama kuna mtu ana knowledge ya any tricks ambazo ni useful lakini mara nyingi haijulikan sana publicly plz share...

Thanks.
Mkuu hiyo ya Bc na Sm to 15732 ni kwa baadh ya namba 2 ndo znakubali..
Mfan mi nna line yang 1 napat 500Mb kwa tsh 500 mwezi mzm..
 
Mb 8 zinawatesa wengi duh. Mitandao bongo kama kenya vile, dadadeki hadi mwaka wa uchaguzi upite.
 
Back
Top Bottom