Natafuta atakaeweza kunibadilisha tempelate ya blogger yangu

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Nataka responsive tempelate kama ya blog ya tuangaze blog.

Thanks
 
Nipo Tabora. Hiyo blog nimeitafuta siioni ili nione huo mfano labda uweke linki ya moja kwa moja. Nina themes kadhaa za blog na wordpress nzuri. Tuongee josephmhecha@gmail.com
 
Hiyo blog anayoisema ni hii hapa

Itabidi atowe pia sababu za kuipenda hiyo template. Nakushauri pia uifanye iwe self hosted na siyo ikae kwenye server za bure za google na kama itakuwa ni ya wordpress safi zaidi
 
Hii template ina ttz moja haitokei kwenye search engine ila kama bado unahitaji call me 0766 883 005 nikuwekee mkuuu
 
Hiyo blog anayoisema ni hii hapa

Itabidi atowe pia sababu za kuipenda hiyo template. Nakushauri pia uifanye iwe self hosted na siyo ikae kwenye server za bure za google na kama itakuwa ni ya wordpress safi zaidi

Mkuu hi template haikati Adsense kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa Adsense utakuwa umeona blogs nyingi hazikubali ads hasa kwenye content za kiswahili ila ukiwa na hii template inakubali frsh kabisa bila ya matatizo kabisa
 
Back
Top Bottom