nina simu yangu ya galaxy note 3 original nimenunua takribani miezi 3 sasa, ila kuanzia jana nimejaribu kuichaji imegoma kabisa kuingiza chaji hivyo imezima naomba msaada hapo.
Habarini wakuu wa jamvi heshima kwenu,
niwapeni pole kwa shughuli za kila siku za kujitafutia chochote kiende kinywani yote ni mapenzi ya Mungu imenibidi niwasilishe hitaji hili kwenu nikiamini ni...
Hello wana Jukwaa.
nina iPad
" designed by Apple in California Assembled in China Model A1396 Rated 5.IV 2.1A max. EMC 2416 complies with the cadanian ICES-003
Class B specifications...
Habari za wikiend wanajamvi.
Msaada, najaribu kuweka OS (windows 8) kwa pc lakini ikifikia kwenye 'Installing updates' inastack.
Nimejaribu kufomat drive C: lakni ikifika eneo hilo bado...
Asema kina uwezo wa kupokea current kutoka kuwili {njia mbili} na kutolea katika moja, hata kama source moja itakua innactive. Kama inavyoonekana katika sketch hii hapa chini....
Habari zenu kila mmoja. Naomba mwenye product key ya windows 8.1 core anisaidie, maana nilikuwa na temporary product key ambayo imeisha na windows inahitaji kuwa activated. Natanguliza shukrani...
Habari zenu wakuu.. naulizia bei ya kioo cha Simu aina ya HTC one X, kama kuna mdau yoyote anayejua gharama yake.
Au kama kuna mtu anayejua mahali ofisi za HTC hapa Dar, tafadhali nisaidie...
Za asubuh wanajamvi?ni matumain yangu mungu amewaamsha salama,bila yakuwasahau wale waliopo mahospitali polen na mungu aonekane juu yenu.kwa kifupi wadau mimi ninatafuta simu (smartphone) itakayo...
Habari zenu!
Samahani wapendwa anayejua jinsi ya kudownload Jamii Forum App kwenye Black Berry 9700. Naomba anielekeze au kama unayo link yake!,,,niandikie hapa!
Ahsanten!
As having seen that some areas in science field have been not taken care of in this part whereby most of posts are relating to computer or technology, I have just decided to bounce in the other...
Hapa lazima tukubali tu kwamba kwenye design Apple wanakwaa barabara wengine wanafuata tu. Hii S6 haihitaji miwani kuona kwamba Samsung wamekopa vitu vingi vya kimuundo kutoka iPhone 6, kumbuka...
habari ndugu wana jamii!"
naomba msaada juu ya kupata games ambazo zinakuwa converted mfumo wa ELF kwa ajili ya Ps (za kuweka kwenye flash)
!NB : kama mnaweza kunipa linki (ambayo nitaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.