Quickbook Point Of Sale MultStore for Sale

Quickbook Point Of Sale MultStore for Sale

regnaldshirima

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
124
Reaction score
78
Kwa wale wafanyabiashara wenye maduka ya jumla na reja reja napenda kuwa julisha Software ya kompyuta itayo kusaidia katika biashara zako katika kufunga stock,mauzo(selling),matumizi nk.


program hii inasaidia zaidi na kupunguza muda wa kushikana na kikokotozi kwani inauwezo wa kupiga mahesabu yako kwa siku,wiki,mwezi na mwaka,
inakurahisishia kujua umepata faida kiasi,
hasara kiasi gani na wapi ulipatia hasara na sababu.
kujua garama za kuendesha biashara yako


program hii inataka kila utumiapo pesa za mauzo uitaarifu kwa unawithdraw kiasi fulani na inatumika wapi.
mwisho wa siku unajua kila jambo ,na program inakusaidia kumbukumbu za mpaka miaka 10.




database ya program hii haidhuriki na virus kwani kila muda kinapofanyika kitu chochote huandika save sehem mbili moja ipo hidden na ingine ipo wazi iwapo mfanyakazi asie mwaminifu atafuta database hauna haja ya kupaniki kwani data zako zimehiifaadhiwa vizuri zaidi ya kinga ya virus katika computer yako.


program hii inauzwa Dola za kimarekani 2199.95USD ambazo ni sawa na 4.075mil
istallation yake naifanya kwa 350,000 full function forever
copy ya cd 500,000 include keys,


unaweza wasiliana nami kama utahitaji




quickbooks-pos.jpgcapture-20150408-123040.png
 
Back
Top Bottom