Husika na hicho kichwa cha habari mimi ni novice programmer nahitaji programmer yeyote aliye Dodoma tuwe tunakutana weekend na ku develop apps na systems ili kwenda sawa na ulimwengu wa technohama
Jamani msaada nimenunua Techno M6 dukani mpya ila option ya kurestart na kushutdown haifanyi kazi. kuzima mpaka nishedule power itajizima yenyewe. Mwenye ujuzi ama niirudishe
habari wadau.
kuna mtu kaniambia kuwa kuna frequency ukiingiza katika kin'gamuz cha azam na ukabadili muelekeo kidogo wa dish unadaka channels zote za cntinental,sasa alisahau kunipa frequency...
Wandugu salaam,
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia Ubuntu as my OS, sasa napata shida ya kukonect na modem ya zantel ambayo ilikuwa inafanya kazi bila shida kwa os...
Kama wewe ni mtumiaji wa Android basi inawezekana tayari unajua kwa kiasi gani mfumo huu huru unavyobadilisha jinsi tunavyotumia
simu zetu katika zama za sasa. Mara nyingi tuna- tuma mafaili...
Habari zenu wanaJf
Niko Arusha sasa hivi, nahitaji kununua dish la bei ya kawaida, lenye ubora na lenye vifurushi vya bei nafuu, vipi nawezapata wapi huduma hiyo hapa Arusha?
Vipi ubora wa haya...
Pengine nawe umeshuhudia Magari mengi ya kizazi cha kuanzia 2008 ya UK na USA yana taa ambazo zinawaka mchana. nikikutajia machache ni kama vile BMW, RANGE ROVER, ESCALADE n.k wengi waemkuwa...
Hivi jamani naomba kuuliza ,
1. Kuna mtu ashawahi tumiwa mzigo wake kupitia hii chinapost na UKAFIKA?
2. Na ulipofika huo mzigo wake alijuaje? Sababu mara nyingi hawatoi tracking number..
3...
Habari Wakuu...
Weekend Hii Ya Pasaka Kwangu Haikwenda Sawaa Kabisa Kutokana Na Mtu Wangu Wa Karibu Mmoja Kuniibia Ipad Iliyokuwa iOS 8 Nafikiri Ndani... Nasema Wa Karibu Kwa Sababu Imeibiwa...
Wadau nipeni mwanga hapa kwanini smartphone aina ya iphone ni ghari sana? Pia kwanini watu maarufu walio wengi hupenda kununua smartphone za iphone kuna nini cha zaidi?
Whatsapp calling Activation is working again [Server UP]
>*whatsapp wameachia tena server zao za ku-activate whatsapp voice call
>**Kama unahitaji whatsapp call fany yafuatayo..
1.Update...
Anayefahamu wapi wanauza vifaa vya simu za NOKIA.Hasa screen za simu.hapa dar naomba anijuze.simu yangu ni NOKIA XL imedondoka chini na kupasua kioo chake.
Sijaelewa bado mpaka muda huu. Mwalimu mtu ambae anafikisha na kuwezesha maarifa kwa mwanafunzi na ubora wake ni maarifa aliyonayo na jinsi na utaalamu wa kuyafikisha kwa mwanafunzi. Vipi kuhusu...
Natumai muwazima wa afya, wanajamvi nahitaji msaada wenu mimi natumia simu aina ya Huawei y300,nataka kui root naombeni mwenye uelewa juuya hiyo simu anisaidie namna ya ku root. napia nikiiroot...
Wadau niaje poleni na majukumu, sasa hebu tusaidiane hapa kidogo. Nina moderm ya voda vipi kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.