Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,739
- 2,410
Hapa lazima tukubali tu kwamba kwenye design Apple wanakwaa barabara wengine wanafuata tu. Hii S6 haihitaji miwani kuona kwamba Samsung wamekopa vitu vingi vya kimuundo kutoka iPhone 6, kumbuka pia wameamua kuondoa slot ya SD Card, pia battery siyo ya kuchomoa tena...yaani kitu kama iPhone tu!
View attachment 240951
Rene jr
Tumeiongelea sana hapa tayari just search before posting.
Thread title looks like Shigongo though.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/811873-samsung-galaxy-s6-vs-iphone-6-a.html
samsung galaxy alpha ambayo ilitoka kabla ya iphone 6
![]()
Daaah bonge la simu nimeitamani kweli yani.Kwa pesa zetu za madafu hiyo ni sh ngapi mkuu?
simu ipi hapo umeitamani?
Daaah bonge la simu nimeitamani kweli yani.Kwa pesa zetu za madafu hiyo ni sh ngapi mkuu?
Ilikua inauzwa Euro 529 ambazo ni Tsh 1,039,761/=
Saizi wameshusha wanauza Euro 429 ambazo ni sawa na Tsh 843,014/=
ila hiyo ni bei ya samsung wenyewe, mpaka kukufikia wewe hapa Tz inaeza kufika ata M moja tena.