Focus120 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 1,094 Reaction score 804 Apr 10, 2015 #1 Habari zenu wakuu.. naulizia bei ya kioo cha Simu aina ya HTC one X, kama kuna mdau yoyote anayejua gharama yake. Au kama kuna mtu anayejua mahali ofisi za HTC hapa Dar, tafadhali nisaidie. Natanguliza shukrani.
Habari zenu wakuu.. naulizia bei ya kioo cha Simu aina ya HTC one X, kama kuna mdau yoyote anayejua gharama yake. Au kama kuna mtu anayejua mahali ofisi za HTC hapa Dar, tafadhali nisaidie. Natanguliza shukrani.
Kigger JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 884 Reaction score 836 Apr 11, 2015 #2 nenda ebay.com hapa bongo upat