Msaada galaxy note 3 haiingizi chaji

Msaada galaxy note 3 haiingizi chaji

Msarendo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
10,917
Reaction score
7,124
nina simu yangu ya galaxy note 3 original nimenunua takribani miezi 3 sasa, ila kuanzia jana nimejaribu kuichaji imegoma kabisa kuingiza chaji hivyo imezima naomba msaada hapo.
 
Miezi mitatu tu? Bado ina guarantee mkuu usiichokonoe, rudisha dukani!
 
kibaya zaidi nipo mkoa, na warranty ilikuwa ya miezi 3 plus risiti nshapoteza

Mtihani, sku nyingine ununue kwa authorised dealer, hakuna Samsung yenye warranty ya months!! Pole sana mkuu. Kabla haujaenda kwa fundi hebu jaribu kutupia battery nyingine kwenye hiyo simu uone.
 
Mtihani, sku nyingine ununue kwa authorised dealer, hakuna Samsung yenye warranty ya months!! Pole sana mkuu. Kabla haujaenda kwa fundi hebu jaribu kutupia battery nyingine kwenye hiyo simu uone.

nashkuru kwa ushauri mkuu, next time itabidi niende kwa ma authorized dealers wale wahindi wa posta kumbe nao magumashi tu.
 
Back
Top Bottom