Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Habari za wikiend wanajamvi.
Msaada, najaribu kuweka OS (windows 8) kwa pc lakini ikifikia kwenye 'Installing updates' inastack.
Nimejaribu kufomat drive C: lakni ikifika eneo hilo bado inastack.
Nb.: nimetumia dvd hiyohyo kwenye pc nyingine iko fresh.
TATIZO NINI WATAALAM?