Msaada: Games za playstation

Msaada: Games za playstation

ALL IN ONE

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
272
Reaction score
190
habari ndugu wana jamii!"

naomba msaada juu ya kupata games ambazo zinakuwa converted mfumo wa ELF kwa ajili ya Ps (za kuweka kwenye flash)


!NB : kama mnaweza kunipa linki (ambayo nitaweza kuzipata)au njia mbadala ya kupata hizi game online
 
Back
Top Bottom