Msaada tutani wakuu, naomba nisaidiwe.

Msaada tutani wakuu, naomba nisaidiwe.

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
349
Reaction score
139
Habarini wakuu wa jamvi heshima kwenu,
niwapeni pole kwa shughuli za kila siku za kujitafutia chochote kiende kinywani yote ni mapenzi ya Mungu imenibidi niwasilishe hitaji hili kwenu nikiamini ni mahala sahihi pa mimi kuwasilisha nina Microsoft Office Professional Plus 2013 inahitaji key mwenye kuweza kunipatia kwa uwezo aliojaaliwa naomba anisaidie.
Natanguliza shukranni kwa yeyote atakayefanikisha jambo hili kwa namna moja ama nyingine na Mungu wetu atusaidie katika Amani ya Tanzania Yetu na Afrika Mashsariki na Afrika na Duniani kwa ujumla.
amani ya Mungu ikae pamoja nanyi/nasi.
Alhamsiki.
 
Tumia Crack mdau katoa link hapo juu ya torrent kama haujui kutumia Torrent omba usaidiwe direct link
 
kweli mkuu wangu nisiwe msiri hhuo msaada wako naomba unipe, naomba unisaidie na steps za kufanya. Natanguliza shukrani.
 
ndugu hiyo file nimedownload tatizo ni kwamba linahitaji msaada wa kufunguka nimetumia free viewer na yaliyotokea kuelewa kunanipa kasheshe na hali ya mvua hii hata kusema niangalie tutorial youtube mtandao unaleta uzinguaji please i need your help kabla haijaexpire kabisa maana imebakiza siku tatu tu.
 
Install WINRAR kwenye PC yako kisha Right click file kisha Chagua Extract
 
nashukuru sana wajuvi(zi) kwa msaada wenu wa namna moja ama nyingine naona alert ya vitisho siioni. nikianza na
Code:
Njuwa Wamavoko
,
Code:
Chief mkwawa
,
Code:
Kcamp
na pasi kumsahau
Code:
Fareal
Msisite kupokea usumbufu toka kwangu ulio ndani ya uwezo wenu, nashukuru pia JF na wadau wa Tanzania kwa kuwa na Amani, na Amani ya MUNGU iwe pamoja nasi na Upendo wa Mungu utawale.
 
Alert ya vitisho?
 
ile ya Microsoft huwa inasema 'remain 3 days please activate' hivyo vitisho mbona wakati mimi nina kazi kubwa na Office kuliko.....
 
Alert ya vitisho?

Atakua anapata hii

smartscreen.png

Thinker96 click run anyway.
 
Last edited by a moderator:
ile ya Microsoft huwa inasema 'remain 3 days please activate' hivyo vitisho mbona wakati mimi nina kazi kubwa na Office kuliko.....

Si haujanunua kaka, ndomana tunatumia njia za wizi.
Download software uliyopewa pale juu kama zipped imekushinda kufungua chukua hii unzipped KMpisco Alpha
 
kaka kama 2013 inazingua achana nayo, zipo za 2007 na 2010 ambazo ni pre activated. unadownload na kutumia bila kuhangaika mambo ya activation. kama utataka uekewe link
 
Snipa the great kwema ndugu yangu naona umeattach na vitisho vyao kabisa saafi, nashukuru nilifanikiwa maana niling'ang'ana na Njuwa Wamavoko naaye asivyo na hiana kanipa maujuzi, shukrani sana. Unaweza kushare nami apps kama SPSS, na zingine za research?, au Hata accounting packages na procurement kama unazo . . .
 
kaka kama 2013 inazingua achana nayo, zipo za 2007 na 2010 ambazo ni pre activated. unadownload na kutumia bila kuhangaika mambo ya activation. kama utataka uekewe link
Sawa Chief naomba ufanye hivyo utakuwa umenisaidia sana maana usumbufu wa Software siupendi kama nini...
 
kaka kama 2013 inazingua achana nayo, zipo za 2007 na 2010 ambazo ni pre activated. unadownload na kutumia bila kuhangaika mambo ya activation. kama utataka uekewe link

Mkuu ungetupia hiyo link ya 2010 utakuwa umenisaidia hata mimi niliye na ufahamu finyu wa hizi mambo..
 
Back
Top Bottom