Product keys ya windows 8.1 core

Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
783
625
Habari zenu kila mmoja. Naomba mwenye product key ya windows 8.1 core anisaidie, maana nilikuwa na temporary product key ambayo imeisha na windows inahitaji kuwa activated. Natanguliza shukrani kwa kila mmoja atakayeweza kunisaidia hizo keys na hata atakayenipa ushauri unaohusu hili jambo.
 
vip umejaribu kwa Kmspico ?
 
Activator zipo nyingi tu online...try that

kwakweli nimezijaribu baadhi na sio zote, na katika hizo, nyingi zinasumbua katika kuzi-run na zingine zinaactivate kwa kipindi cha miezi 6. ila kama unaifahamu link ya kuipata iliyo permanent activator na ina-run vizuri, naomba nisaidie kwa hilo kwa kweli.
 
ingia onhax.net then search Kmspico utapewa ya permanent mkuu
 
Back
Top Bottom