msada please...........can i send paypal money via western union??????????????????

msada please...........can i send paypal money via western union??????????????????

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
habari wana jf mwenye ufahamu na topic tajwa hapo juu naomba anijuze please
 
Jamaa sio wewe uliyekuwa unatafuta kazi ya house boy, naona sasa upo katika kutafuta elimu zaidi
 
Jamaa sio wewe uliyekuwa unatafuta kazi ya house boy, naona sasa upo katika kutafuta elimu zaidi
yeah ndo mimi kwani mahouseboy hatutakiwi kujua ishu za paypal ?,western union na payooneer???????........elimu ni bahari haina mwisho
 
RTFM! Don't be lazy, go to Paypal and ask.
 
Back
Top Bottom