Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Poleni na majukumu ndugu zangu wa Jamii Forums.
Wakuu nina laptop yangu Acer ASPIRE E1-531, Nilinunua ikiwa haina OS yoyote nikaweka Window 7 Ultimate ya 32-Bits. Kuna tatizo linalonisumbua kwa muda mrefu sasa, nikiwa nafanya kazi zangu kwenye hii laptop huwa inajizima ghafla na inadisplay rangi ya blue yenye maandishi mengi (Nime attach picha yenye maandishi hayo), kazi zangu zote nilizokuwa ninafanya huwa zinapotea hata kama nikiwa nimesave muda mfupi uliopita.
Sasa ninaomba msaada wenu kama kuna mwenye ujuzi wa jinsi ya kutatua hili tatizo.
Natanguliza shukrani zangu.