JF katika Tapatalk - Tatizo

JF katika Tapatalk - Tatizo

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Nimekutana na tatizo kwenye JAMII FORUMS kwenye Tapatalk.

Kuanzia tarehe 17/05/2015. Notifications haziji kabisa. Sijui kama kuna mtu aliyewahi kukutana na hili. PUSH NOTIFICATIONS zinakuja lakini nikiingia kwenye FORUMS--> JAMII FORUMS-->NOTIFICATIONS basi hapo hakuna notification za zaidi,ya tarehe 17/may. Hata kwa zile Thread ambazo nimeSubscribe.

MSAADA PLEASE



Angalia hapa, nofltification ya mwisho ni tarehe 17.. Hata nikiRefresh
8e46ae4836f206b74f48dd45f9510a1a.png


Angalia setttings
603f47f5bb474b1ed2a87a031c9144a7.png


...Pamoja sana...
 
Hata mimi sipati notification sijui shida nini. Mwenye kujua msaada please.
 
Hili tatizo hata mimi nimelipata tokea juzi na nilishawataarifu mods ila mpaka sasa naona kimya.
Hili tatizo linakera sana kiukweli. Invisible Moderator
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom