Samsung galaxy grand rooting

Samsung galaxy grand rooting

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Habari wakuu nataku kuroot simu yangu ya android ni samsung galaxy grand gt i9082 so kwa mtu mwenye uwezo na hii kitu anichek inbox note:nitalipa gharama ya huduma nipo mkoa ila tar 25 ntakuwa dar so wasiliana nami
 
kwanini unataka Ku root Simu yako? kama huna sababu usifanye hivyo.
 
Back
Top Bottom