Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,651
- 3,822
Wadau wa tech hii mitandao ya simu imekuwa wanyonyaji sana kwenye suala la vifurushi vya intanet.
Nahitaji kujua kama kuna any portable wireless device ambayo itanisaidia kupata a strong wireless connection km inayopatikana maofisini, na hiyo device iwe inaweza kubebeka km power bank hivi
Kama zipo kwa anaejua anijuze mm kuhusu upatikanaji wake,uwezo wake na bei zake