poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Habari wanajamvi
Nataka kujua kuhusu hii kitu inayoitwa IPTV. Nimepata kusikia waweza kuangalia tv online kupitia IPTV kwa kutumia simu, PC au hata smart TV.
Nimejaribu kugoogle na kutaka kujaribu IPTV kwa kutumia PC lakini nimekosa software nzuri itakayoniwezesha kuona hicho kinachoelezwa kwamba naweza kuona TV mbalimbali kupitia IPTV. Sasa wadau naomba msaada wa maelezo na software kwa ajili ya kutumia.
IPTV katika PC.
Ahsante.