srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,025
- 3,588
habari zenu waungwana ,
jamani mimi nimekuwa nikisumbuliwa sana na tatizo la Ads kwenye browser zangu (mozilla na Chrome) , yaani inafika wakati nashindwa hata kuona screen maana inakuwa imefichwa na hizi ads. au wakati mwingine ninaclick kitu mara inafungua mauchafu mengine au mapage mengine au new tabs
nimejaribu kutumia njia mbalimbali kama vile kutumia AdBlock , lakini naona ndio kwanza tatizo linazidi ,
naombeni mwenye msaada tafadhali maana hili tatizo linanisumbua na kunikera sana ,
Natanguliza shukrani za dhati
@Mwl.RCT