MSAADA wa emergency Huawei y530

MSAADA wa emergency Huawei y530

JfBro

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
587
Reaction score
163
Habar zenu wakuu...!?!
nina simu yangu moja aina ya Huawei y530 inatatizo limetokea zaid ya mara nne saasa kuna muda inagoma,ku function kwenye message...whatsapp..Gmail.na Facebook yani application zote za communication nikitaka kufungua hzo application inanileteaa ujumbe....unfortunately messaging has stopped au unfortunately whatsapp has stopped or unfortunately instagram has stopped inaweza kukaa hata kutwa nzima siwez kuzifungua situmi txts wala sisomi txts............nili i restore lakin bado inagoma inaweza kukubal muda mwingine tatizo linajiruddia mwenye ujuzi na hii mambo anisaidie wakuu.asante
 
Nikushauri, badilisha launcher, jaribu kutumia GOOGLE NOW launcher.
 
wakuu nimebadilsha launcher zaid ya3 imegoma kabisaaa....kama kuna msaada mwingine tafadhalii maana bado inaandika unfortunately Google apps has stopped or unfortunately whatsapp has stopped
 
Bora bro umeileta jamvini,mi nna Huawei y600 imepata tatizo kama hilo siwezi kuaccess kabisa whatssup kila kikijaribu kuinstall upya inaleta messeji ''Google play store has stoped'' hebu wataalamu tupeni maarifa tufanyeje maana binafsi nimenyoosha mikono
 
Fanya hard reset itakua vizuri msaada zaidi 0784234391
 
Nina simu kama hiyo. Kuhusu hiyo simu. . hakuna rom (custom rom) hivyo hatuna budi tutulie. Kuhusu crashing ya apps. Kumbuka ni simu ya RAM 512MB. hivyo response kwa apps zinazokula RAM. Itakuwa nzito kidogo... Cha kufanya piga hard reset. Au cheki kama iko rooted. Simu hizi zina majanga sana ukizi root. Au kama uliiflash...hiyo simu. Jibu naswali yangu then nione nakusaidiaje..
 
0715378899,Nione nipo kariakoo,hakikisha una50,000 na kww siku mbili
 
Nikushauri, badilisha launcher, jaribu kutumia GOOGLE NOW launcher.

launcher ina uhusiano gani na tatizo lake? na kama solution ni launcher kwa nini google now? maana google now ni heavy kwa machine kama y530 na iko bundled na apps zingine si unajua ili google now ifanye kazi lazima app zingine ziwe installed kama gapps na zingine ambazo zinakula space kubwa sana, km issue ni launcher na hakuna sababu specific mie na recommend lite weight launchers hasa Launcher3 (haipo playstore, ila hii ndio the best kwa hii simu. ni google now ambayo imeondolewa vitu vingi na kubaki vya muhimu tu, so far kwa hii simu it is the best)
http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2432810&d=1386171703
 
Nina simu kama hiyo. Kuhusu hiyo simu. . hakuna rom (custom rom) hivyo hatuna budi tutulie. Kuhusu crashing ya apps. Kumbuka ni simu ya RAM 512MB. hivyo response kwa apps zinazokula RAM. Itakuwa nzito kidogo... Cha kufanya piga hard reset. Au cheki kama iko rooted. Simu hizi zina majanga sana ukizi root. Au kama uliiflash...hiyo simu. Jibu naswali yangu then nione nakusaidiaje..

hii simu nnayo na nnaitumia kuutestia apps na shuguli zingine, custom rom hakuna ndio ila waweza customize iyo emui2 rom iliyonayo, japo rom iko stable unaweza ifanya iwe more stable kwa kutweak baadhi ya settings kwenye build.prop pia kuondoa app zisizo na umuhimu na kuongeza zenye umuhimu kwako.

flash custom recovery, ili uweze ku enjoy (japo nimegundua ile cwm sio rafiki wa chaji ukilinganisha na stock one)
 
asee kumbe tupo wengi mm nilikuwa nayo y511 inaandika hivo mwishowe ikazima kabisa nikaizila nikaamua kununua too TECHNO.techno mpango mzimaaaa jembeeee ikijaam una irestart inarudi upyaaaa safiiiiiii inapiga mzigo

blaza nunua nyingine tuu.hyo nd imeishakufa hivo cna hamu tena na huawei asee nimekomaaaaa
 
hii simu nnayo na nnaitumia kuutestia apps na shuguli zingine, custom rom hakuna ndio ila waweza customize iyo emui2 rom iliyonayo, japo rom iko stable unaweza ifanya iwe more stable kwa kutweak baadhi ya settings kwenye build.prop pia kuondoa app zisizo na umuhimu na kuongeza zenye umuhimu kwako.

flash custom recovery, ili uweze ku enjoy (japo nimegundua ile cwm sio rafiki wa chaji ukilinganisha na stock one)

Hapa. Nili root hii simu easily. Ila root ana own internal storage hivyo ikanikosesha raha kwa baadhi ya feautures zote zinazohitaji sd0. Sasa bhasi.. Kuhusu cmw si inahitaji root accsess? Unanishauri nini. Kuhusu hilo au? Nitoe gizani mwenzio.
 
UncleUber nipe ufafanuzi wa kina kuhusu cmw. Ili iwe stable na yangu pia.... Mimi sifahamu kuhusu maswala hayo.
 
Last edited by a moderator:
Hapa. Nili root hii simu easily. Ila root ana own internal storage hivyo ikanikosesha raha kwa baadhi ya feautures zote zinazohitaji sd0. Sasa bhasi.. Kuhusu cmw si inahitaji root accsess? Unanishauri nini. Kuhusu hilo au? Nitoe gizani mwenzio.
ukitumia towelroot ndio ishu kama iyo ya internal storage kutoonekana, i unroot kisha tumia kingroot itakuwa poa internal storage itaonekana fresh, na kuhusu cwm recovery ina hitaji kuroot na bootloader iwe unlocked, hii inakusaidia kuflash flashable zips, pia kufanya nandroid backup ya rom na vitu vingine kama ku wipe dalvick cache, ku restore rom ku flash custom rom na mambo mengine mengi...
 
UncleUber nipe ufafanuzi wa kina kuhusu cmw. Ili iwe stable na yangu pia.... Mimi sifahamu kuhusu maswala hayo.
cwm ni clockworkmod recovery, ni recovery kama twrp na zingine, inakuwa na feature ambazo zipo kwenye stock recovery na zingine nyingi ambazo hazipo kwenye stock recovery
 
Back
Top Bottom