ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Hata smart phone inaedit vizuri tu
photoshop inafanya. kuna wataalam wengi tu humu wanaweza fanya ungetoa sample pic watu wakafanya wenye muda.
hata kwa mkono mtu anaweza chora
Ni kweli mkuu ndo maana nilikuwa namuhitaji mtu anae weza au kuelekezwa hiyo programm nashukuru mkuu CHIEF MKWAWA photoshop ngapi
kuanzia cs3 hadi cs6 pamoja na cc zote zinafanya. ila kuwa na software tu haitoshi inabidi uwe na ujuzi pia
Photoshop ngumu sana tafuta pirlx kwenye playatore
Nimeona kwa watu wengi hii editing nimeipenda na nina picha zangu tatu nahitaji kusaidiwa kufanya hivi kama upo teari naomba uni PM namba ako afu naomba kuelekezwa hij editing ina fanywa vipi msaada tafadhari
Hizo play store nazipata kaka? Hapo kweli ujuzi nitajifunza
Hii co photoshop imechorwa