Nina laki 2 nikanunue simu gani?

Nina laki 2 nikanunue simu gani?

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Ni hivi nina laki 2 natafuta simu ya smartphone nilikuwa nahoji nikanunue simu gani ila mi ni mpenzi wa tecno,htc na samsung
 
Kama unapenda tecno chukua H6

Kama unataka kubadilika ongeza kidogo, uchukue Nokia X2

Au kwa hiyo bei unapata Nokia X
 
h6 nishatumia nataka kubadlxha na xl n sh ngap
 
Kanunue huawei kwa bei hyo smu utayodumu nayo ni huawei ascend 😊
 
Ni hivi nina laki 2 natafuta simu ya smartphone nilikuwa nahoji nikanunue simu gani ila mi ni mpenzi wa tecno,htc na samsung

angalia...

Samsung galaxy trend lite
Huawei y300
Huawei y600
Startimes p40
Lumia 435
 
Ni hivi nina laki 2 natafuta simu ya smartphone nilikuwa nahoji nikanunue simu gani ila mi ni mpenzi wa tecno,htc na samsung

tafuta galaxy s2.hzo zote zilizotajwa hapo juu hazifati s2.
 
Back
Top Bottom