ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Katika uchunguzi wangu, nimegundua kwamba Viber voice call 📞. Ipo vizuri sana kuliko WhatsApp Call, . Usikivu wa viber ni mzuri kuliko whasapp kwa mazingira ya internet yanayofanana. Sauti ina delay kiasi lakini sio kama whatsapp, pia voice quality ya viber ni iko juu kuliko whatsapp, pia noise kwenye viber ni ndogo kulinganisha na whatsapp.
Viber ilikuja ikiwa na uwezo wa kuweza kutumia account moja katika devices zaidi ya moja kwa wakati mmoja , na account zote zinakuwa hewani tofauti na whatsapp ambapo ni one device at a time.
Viber ipo Viber for PC 💻 ambapo kuinstall huhitaji Android virtual environment (kama vile bluestacks) kitu ambacho whatsapp hana.