Kubadilisha key board ili iandike kifaransa

L'AMOUR

Senior Member
Mar 8, 2011
110
24
Wan JF naomba msaada wa namna ya kubadilisha key board ili niweze kuchapa kwa lugha ya kifaransa. pia namna ya kubadili ili ichape kama key board nyingine maana nimeambiwa kuna mtindo wa kijerumani na kadhalika sasa kuna wakati ukitaka kutumia lugha fulani hupati alama na vitu unavyovitafuta.
Natanguliza shukurani zangu za dhati
 
Nadhani ungeenda kwenye control panel, then nenda kwenye hardware installation alaf angalia properties za keyboard ulionayo then badilisha input language..
 
Unapohitaji msaada jaribu kutoa maelezo ya kina, elezea operating system yako kama ni windows XP, Vista au Windows 7 au kama unatumia Mac,Ubuntu etc; hapo utakua umerahisisha kujibiwa kiukamilifu.
 
click control panel halafu kuna ka window katajitokeza chenye ujumbe adjust your computer setting.click hiyo sehemu yenye maneno hayo clock, language and region. then utaclick reginal and language change. kuna option ya ku change keyboard na lugha.
 
nina rafiki yangu amenunuwa laptop france. actually keybord yake ipo tofauti kabisa na hizi za kawaida.. alphabets hazijajipanga kama hizi zetu tunaotumia eng
 
nina rafiki yangu amenunuwa laptop france. actually keybord yake ipo tofauti kabisa na hizi za kawaida.. alphabets hazijajipanga kama hizi zetu tunaotumia eng
imejipangaje tena maana qwerty keyboard ni universal keyboard hata kama utatumia kiarabu yaani tola kulia kwenda kushoto
 
imejipangaje tena maana qwerty keyboard ni universal keyboard hata kama utatumia kiarabu yaani tola kulia kwenda kushoto

io keyboard ipo mtindo wa AZERTY.lakini muulize kama OS yake ipo kifaransa au kama ameshabadilsha lugha.ataweza kuweka sawa zile button ziliopo katika keyboard yake kisha anaziweka mtindo wa QWERTY...
 
Back
Top Bottom