Place power batani na big batani Kwa pamoja,yaan una shikilia big batani cha duara then una place kidogo power switch utakuwa ume screen shot broJamani naomba mnisaidie,nawezaje kupiga picha kwa "screen shot" ya iPhone??
Nimekuwa nikijaribu lakini sioni wapi pa kuanzia.Msaada tafadhali
Place power batani na big batani Kwa pamoja,yaan una shikilia big batani cha duara then una place kidogo power switch utakuwa ume screen shot bro
Na hizi za tecno tunafanyaje mkuu
Techno una bonyeza power batani na volume key kwa pamoja utakuta ina shot yenyewe
Asante sana mkuu. Nilitafuta hiki kitu mda mrefu, sasa nimejaribu na kufanikiwa
Yangu haina big bataniPlace power batani na big batani Kwa pamoja,yaan una shikilia big batani cha duara then una place kidogo power switch utakuwa ume screen shot bro
Nimegoogle nimefata maelekezo na sijafanikiwa,natumia HtcMjifunze kutumia google, ukiandika "iphone screenshot" jibu la kwanza linamaliza shida yako yote usingesumbuka kuja humu.. uvivu mzigo
Unapataje pia ktk Nokia Lumia 720?
Unapataje pia ktk Nokia Lumia 720?
Jamani naomba mnisaidie,nawezaje kupiga picha kwa "screen shot" ya iPhone??
Nimekuwa nikijaribu lakini sioni wapi pa kuanzia.Msaada tafadhali