Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hv ni application ipi nzr kwa ajili ya ku protect cm ili ata mtu akikuibia uweze kuipata kirahis
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari Jf. Naomba ushauri nataka moja ya Simu tajwa hapo juu. Ni Ipi bora? Kuanzia specifications mpaka matumizi. Nawasilisha.
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Tips to catch up with other aspects of life while still enjoying working in IT Take an IT career and leave home early | Knowcache
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Habari Wakuu, Kutokana na sheria mpya kuonekana kama ina limit free speech kwa kiasi fulani na segment mbali mbali za jamii, basi nikaona si vibaya tuka'share njia mbali mbali jinsi gani unaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nataka nijue maana ya kuroot kwenye cm mie ni mgen
0 Reactions
2 Replies
1K Views
guys naomba msaada jinsi ya kubadili font ya simu, kwenye msg, watsapp, nk, natumia smart phone android 4.4
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kuna jamaa wanajiita laser unicorn wali kickstart project yao inaitwa kung fury na walichangiwa zaidi ya $600,000 (zaidi ya 1.2 bilioni za kitanzania) moja ya matokeo yake ni movie yao fupi ya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Amani kwenu wandugu, Kwa aliyewahi kucheza hii game ya draft~PC mpaka mwisho atujuze amewezaje.,? Maana mimi nimeishia level ya 2 tyu..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wajameni nawezaje ku unlock modem za tigo na zantel? Coz nimejaribu na dc-unlock na software nyingne lakin wap! Wanasema zenyewe ni customized firmware. Msaada wanateknolojia!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
IDM inanisumbua kweli na hii kitu ‘IDM has been registered with the Fake serial number ’. yaani nilikukuruka mda sana lakini sijafanikiwa licha ya kumaliza site zote ila sitaweza kutumia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kufahamu jinsi ya kurusha video kwenda youtube.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kila nikitaka kufungua app kuna ujumbe unajitokeza (the page has become unresponsive, do you want to close it). Naomba kufahamu tatizo mpaka unakuja ujumbe huu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wadau wa tech, Nili install window 8.1 pro nika weka cracker fulani kwa muda mambo yaka fresh lakini sasa kila nikiconnect internet nadaiwa product mwenye nazo anisaidie manake nafikiria...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Habari zenu wakuu Nina tumia laptop aina ya accer na natumia windows 7 Tatizo ni kwamba hivi karibuni imeanza kuleta tatizo pale baada ya kuiwasha na kuingiza password INA display black screen...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Naona windows 10 Upgrade iko available leo nimetumiwa Upgrade notice ila ni kama sielewi elewi vizuri nimefata hiyo Upgrade notice nimeambiwa natakiwa nifanye reservation. Kama unatumia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini , wadau nina modem ya ndugu yangu ya zantel ya kitambo kaniachia ile ambayo haiingi line sasa nataka niitumie nashindwa kwasababu sina Namba yake ya simu , nilikua naomba msaada toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapo zamani, kidogo kabla ya ulimwengu wa "simu janja". Haujaja hapa bongo. Tulikuwa na simu zetu na tulizipenda sana. Mimi nilikuwa na simu mwishoni mwa miaka ya 2005. Nilianza kujua mini maana...
0 Reactions
65 Replies
13K Views
Naomba mwenye software ya TRADOS TRANSLATION anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Any ideas?? Note: it ain't my first time to root,,, I just tried everything!!
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau, Nina computer tajwa hapo juu amabyo haijamaliza mwaka tangu ninunue lakini siku za karibuni imekuwa inagoma kusoma flash ninapoingiza na kuna wakati inabidi mpaka nitingishe kidogo. Je...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…