How can I root Huawei Y330-u11??

How can I root Huawei Y330-u11??

Elvicepride

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
243
Reaction score
65
Any ideas??

Note: it ain't my first time to root,,, I just tried everything!!
 
Any ideas??

Note: it ain't my first time to root,,, I just tried everything!!

kweli mkuu, mimi nimejaribu kutumia kingroot jana ila chali, ila ntakupa solution kama ipo in no time
 
wanajukwaa habar,me ninayo hyo simu lakn imeroga OS nimejarbu kuweka Os nyngne imegoma coz znatofautiana kutoka wasambazaji mfano tigo na Mtn pamoja na nchi husika,so naombeni anyeweza nisaidia OS (official/stock ROM) ya hiyo simu ambayo version yake iwe mwshon B114
 
jaribu kutumia MTK droid root & tools kuroot hii simu, maana ina uwezo wa kuroot simu zenye chipset ya MT6572 ambayo mojawapo ni hii huawei y330.

mkuu nisaidie issue ya Official Rom inayokubali kwa hizi 330 u11 za tigo hapa bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom