mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Habari Wakuu,
Kutokana na sheria mpya kuonekana kama ina limit free speech kwa kiasi fulani na segment mbali mbali za jamii, basi nikaona si vibaya tuka'share njia mbali mbali jinsi gani unaweza ku'post mada yoyote ile online bila IP yako kuwa traced na kuwa completely anonymous.
Sheria mpya ya mtandao ina mazuri yake, mojawapo ni kuzuia uhalifu na mabaya yake pia ambapo mojawapo ni kuondoa privacy na kuondoa freedom of speech.
TOR software ni solution kama unataka ku'express views zako online bila kuwa traced. Kwa kutumia Tor network inafanya kuwa vigumu kwa Internet activity kuwa traced kwa mtumiaji na hii inajumuisha vitu kama visits to websites, online posts, instant messages, na njia zingine za mawasiliano mtandaoni.
National Security Agency (NSA) shirika la kijasusi Mmarekani, katika document moja iliyokuwa leaked na Edward Snowden walianzisha project inayoitwa "Tor stinks". Madhumuni ya hiyo project ni kufanya research na kugundua njia mbali mbali jinsi ya ku'attack Tor network na kuweza ku'reveal identity za users wa tor bila mafanikio.
Tor imetumika na sources nyingi waliotoa documents za siri kwa watu kama Edward Snowden,
Julian Assange na Wikileaks, hata whistleblowers wengine kwenye nchi kama China, Iran na Syria bila identity zao kujulikana.
Ironically, Tor ilianzishwa na Naval Research Agency ya Marekani ili kulinda mawasiliano ya siri za kijeshi online.
Kutumia Tor ni rahisi unaweza ku'download kama Google Crome au Mozilla.
Nakaribisha michango yenu.