Msaada modem ya zantel

Msaada modem ya zantel

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Habarini , wadau nina modem ya ndugu yangu ya zantel ya kitambo kaniachia ile ambayo haiingi line sasa nataka niitumie nashindwa kwasababu sina Namba yake ya simu , nilikua naomba msaada toka kwenu jinsi ya kupata hii namba plz , na nimewapigia Customer care hawapokei simu
 
unaeka vocha halafu unajipigia kwenye namba yako, kueka vocha nafkiri unapiga 104.

unaishi wapi? kama upo dar au znz zantel wana 3g kwenye line za kawaida tumia modem ya kawaida itakubali. hizo modem zitakusumbua sana
 
Back
Top Bottom