no nm JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 212 Reaction score 32 May 29, 2015 #1 Amani kwenu wandugu, Kwa aliyewahi kucheza hii game ya draft~PC mpaka mwisho atujuze amewezaje.,? Maana mimi nimeishia level ya 2 tyu..
Amani kwenu wandugu, Kwa aliyewahi kucheza hii game ya draft~PC mpaka mwisho atujuze amewezaje.,? Maana mimi nimeishia level ya 2 tyu..
Eshy m.s JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 2,926 Reaction score 1,561 May 30, 2015 #2 mi huwa nafungwa tu, jamaa wachawi kweli
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 May 30, 2015 #3 kwanza halieleweki kuna tricks wao wao(pc) wanazitumia lakini wewe ukizitumia kinagoma(invalid move). . so huwezi kuwashinda.
kwanza halieleweki kuna tricks wao wao(pc) wanazitumia lakini wewe ukizitumia kinagoma(invalid move). . so huwezi kuwashinda.
no nm JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 212 Reaction score 32 Jun 1, 2015 Thread starter #4 Danny Job said: kwanza halieleweki kuna tricks wao wao(pc) wanazitumia lakini wewe ukizitumia kinagoma(invalid move). . so huwezi kuwashinda. Click to expand... Lakini kutakua na maujanja..
Danny Job said: kwanza halieleweki kuna tricks wao wao(pc) wanazitumia lakini wewe ukizitumia kinagoma(invalid move). . so huwezi kuwashinda. Click to expand... Lakini kutakua na maujanja..
no nm JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 212 Reaction score 32 Jun 1, 2015 Thread starter #5 Eshy m.s said: mi huwa nafungwa tu, jamaa wachawi kweli Click to expand... Hata wa mwanzo kakushinda?
Eshy m.s said: mi huwa nafungwa tu, jamaa wachawi kweli Click to expand... Hata wa mwanzo kakushinda?
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,704 Reaction score 9,079 Jun 2, 2015 #6 Game gani hiyo tupia hata screenshot
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,115 Jun 3, 2015 #7 Walio tengeneza hiyo game ni binadamu kama wewe sasa kaa chini na ufikirie in deep..
billionea alpha JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 1,496 Reaction score 1,760 Jun 3, 2015 #8 Sijawahi kushinda ni shida