Windows 10 Upgrade is now available for reservation

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Hi

Naona windows 10 Upgrade iko available leo nimetumiwa Upgrade notice ila ni kama sielewi elewi vizuri nimefata hiyo Upgrade notice nimeambiwa natakiwa nifanye reservation.
Kama unatumia windows 7 au 8 genuine hii notification ipo kwenye taskbar kulia kwako

Niliposoma FAQ katika website ya microsoft nimekuta hii kitu

[FONT=wf_segoe-ui_normal]Microsoft is making Windows 10 available as free upgrade for qualified Windows 7, Windows 8.1, and Windows Phone 8.1 devices. It will be available starting July 29, 2015; people can reserve their free upgrade today.[/FONT][FONT=wf_segoe-ui_normal]You only have until July 29, 2016 to take advantage of this offer. Once you upgrade, you have Windows 10 for free on that device.

kwa walio oriented na hii Upgrade notice tujuzeni zaidi

Maelezo zaidi [/FONT]
http://www.microsoft.com/en-us/windows/windows-10-faq?ocid=win10_auxapp_context[FONT=wf_segoe-ui_normal]

xeAhpP.png
[/FONT]
 
ni kama unaeka order, kuwa unataka hio free update, kama una genuine win 7 au 8 utapata win 10 bure.

kama unataka kufanya hio reserve itabidi uinstall hio app yao
 
hivi ukishaupgrade baadae hutachajiwa kweli?
Ni completely free na kama ukiitaji wewe ni kununua license ya windows 7 au 8 kisha watakutumia notice ila kama nimeelewa vizuri hii ni mpaka July 29 ukizidi hapo nahisi itakua commercial
 
Ni completely free na kama ukiitaji wewe ni kununua license ya windows 7 au 8 kisha watakutumia notice ila kama nimeelewa vizuri hii ni mpaka July 29 ukizidi hapo nahisi itakua commercial

hapana july 29 ndio inatoka windows 10, then ikitoka una mwaka mzima wa ku upgrade bure so july 29 2016 ndio wataanza kuchaji kwa wale ambao watataka ku upgrade
 
hapana july 29 ndio inatoka windows 10, then ikitoka una mwaka mzima wa ku upgrade bure so july 29 2016 ndio wataanza kuchaji kwa wale ambao watataka ku upgrade

Duuh kwanza nilipoona hii notification nkajua ndo nki download tu naanza kutumia hii windows 10
Kumbe bado kuna safari kidogo
Nimechagua reserve na majibu ndo haya

oA7Cr1.png
 
Duuh kwanza nilipoona hii notification nkajua ndo nki download tu naanza kutumia hii windows 10
Kumbe bado kuna safari kidogo
Nimechagua reserve na majibu ndo haya

oA7Cr1.png

yap, na hii ndio windows ya mwisho, hivyo ukiwa nayo genuine unasahu piracy kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom