Msaada modem ya tigo na zantel

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
124
Wajameni nawezaje ku unlock modem za tigo na zantel? Coz nimejaribu na dc-unlock na software nyingne lakin wap! Wanasema zenyewe ni customized firmware. Msaada wanateknolojia!!!
 
Wajameni nawezaje ku unlock modem za tigo na zantel? Coz nimejaribu na dc-unlock na software nyingne lakin wap! Wanasema zenyewe ni customized firmware. Msaada wanateknolojia!!!

Kwa modem za tigo(HUAWEI) hizi zenye customized firmware inawezekana kuzi-unlock permanently kwa kutumia dc-unlocker lakini sio free. Ni lazima ununue credit kama 7 from dc-unlocker service provider. Credit 1 ni sawa na Eur 1. Kwa misingi hiyo ukitaka uhuru wa kutumia mtandao wowote kupitia tigo modem huawei with customized firmware, itaku-cost kama hela za kitanzania 14,000/=. Kuna software mbili ambazo unaweza ku-unlock hizi modem for free but not permanently. Ukitoa tu modem kwenye pc, basi ukichomeka tena lazima ufuate tena hizo process za ku-iunlock. Majina ya hizo software ni 1.Huawei Modem Unlocker v.5.8.1 or v.5.7.7 and 2. E153 Express Unlocker

Kwa taarifa zaidi tafadhali bofya HAPA!
 
Tigo una unlock lakini zantel awezekani kuna software nita kwambia pakuipata
 
Back
Top Bottom