kickstarter kung fury (movie)

kickstarter kung fury (movie)

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,280
Reaction score
44,418
kuna jamaa wanajiita laser unicorn wali kickstart project yao inaitwa kung fury na walichangiwa zaidi ya $600,000 (zaidi ya 1.2 bilioni za kitanzania) moja ya matokeo yake ni movie yao fupi ya dakika 30.

movie hii ya kung fury wame act kama miaka ya 1980's ni action comedy, nimeangalia dakika zote 30 wajamaa wamejitahidi sana movie ni nzuri na huwezi kuamini kama imetengenezwa kienyeji. jambazi hitler aka kung fuhrer, kuwa master wa kung fu kwa chini ya sekunde moja na mambo mengi yapo humu.

icheki hapa kihalali maana kuna watu hawajawahi angalia movie isiokuwa ya piracy
https://www.youtube.com/watch?v=bS5P_LAqiVg

producer/designer/animator wa kibongo tunaweza hii?
 
hiyo ni movie au episode?

Na kweli, kuna watu ata hii wataitafuta kat.cr duh

Ni nzuri.
Nimeiangalia kwa dakika 3 na mb za voda zimeisha! lol lol...
 
most of time nilikuwa nacheka tu, jamaa wamejitahidi na hii parody ya 80s action movies, imenikumbusha enzi izo daaah...
 
Na kweli, kuna watu ata hii wataitafuta kat.cr duh

originally watu kama hawa(wenye hii movie) uwa wanaspread material hasa za bure kupitia torrent kabla watu hawajaanza kushea pirated works. so usishangae kuikuta tpb au kat.ph maana ni njia moja wapo ya kuisambaza
 
Back
Top Bottom