Habari Jf.
Naomba ushauri nataka moja ya Simu tajwa hapo juu. Ni Ipi bora? Kuanzia specifications mpaka matumizi.
Nawasilisha.
View attachment 256478 tecno c cm hata iwe nzuri vipi
ni kweli kabisa Mimi pia nimejionea kamwe so nunui tekno
toa sababu usiongee kishabikView attachment 256478 tecno c cm hata iwe nzuri vipi
Kuna watu wanzitolea makosa hizi simu hawajawahi kuzitumia Mimi mwenyewe nimeachana na y530 Niko h6 na inafanyakazi vizuri
Y530 nibomba zaidi mm natumia inamwaka WA saba hata kwafundi sijawahi kupawaza