Latitude E5430 inagoma kusoma usb

Latitude E5430 inagoma kusoma usb

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Wadau,
Nina computer tajwa hapo juu amabyo haijamaliza mwaka tangu ninunue lakini siku za karibuni imekuwa inagoma kusoma flash ninapoingiza na kuna wakati inabidi mpaka nitingishe kidogo.
Je shida ni kwenye prt ya computer au flash?Nitawezaje kujua tatizo lilipo?
 
Kama mpaka utingishe maana yake port ni mbovu baadhi ya line ( cable ni loose)
Tembelea fundi akusaidie
 
Back
Top Bottom