Tatizo la black screen.

Tatizo la black screen.

amoneyazan

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
698
Reaction score
473
Habari zenu wakuu
Nina tumia laptop aina ya accer na natumia windows 7
Tatizo ni kwamba hivi karibuni imeanza kuleta tatizo pale baada ya kuiwasha na kuingiza password INA display black screen na cussor pointer inaonekanaa nyeupe , ukichezesha mouse ina move lakini huwez Fanya chochote maana screen ni nyeusi


Nilijaribu Ku Google solution lakini hazikusaidiaa Sana'a
Kwa anaefahamu permanent solution kwa tatizo hili naomba msaada wakuu...
 
ulieka nini kabla ya kufanya hivyo? hujaeka live walpaper? seems kuna app imefunga windows explorer.

ukibonyeza ctrl + alt + delete kwa mpigo task manager inakuja?
 
ulieka nini kabla ya kufanya hivyo? hujaeka live walpaper? seems kuna app imefunga windows explorer.

ukibonyeza ctrl + alt + delete kwa mpigo task manager inakuja?

Sikuweka chochote
sema nilivyogoogle solution nikaelekezwa kuwa ni chomoe betry then nikirudisha kabla ya kuwaka naminya shift + F10
Halafu power button inawaka

Bila kufanya hivyo haiwaki
hata nikifungua task manager kama ulivyouliza haiwaki
 
Back
Top Bottom