grand 2 overall ni nzuri, imebalance na sababu touchwiz ni nzito ram ya 1.5gb itasaidia. yenyewe prime ina ram 1gb lakini processor yake ina speed zaidi na kioo kina resolution ndogo hivyo itakuwa faster zaidi.
chukua grand 2 kama matumizi yako ni ya kawaida