Browser nzuri

Browser nzuri

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wataalamu ninaomba kufahamu browser ambayo no. nzuri Kwa kuweka link za kuangalia mfano channels za habari,mpira online ktk simu(android)
 
Baidu browser. Kama unatumia ram 512. Chukua mini browser ya baidu. Zote zipo playstore
 
*Baidu ,👆👆👆👆
 
Kama unatumia 2g uc min ni nzuri lakini kama una 3g tumia uc browser
 
Kaka almost browser zote za android zinatumia webkit/blink hivyo zinafanana kasoro
-opera mini
-firefox
-ucweb

Even opera next ni webkit haina tofauti na chrome au default browser.

Kinachofanya uangalie online si jina la browser bali support ya browser, ili uweze kuangalia mpira online unatakiwa uwe na
-flash
-html 5

Hii html5 inakuja na browser na ni website chache sana za mpira zina support yake, maarufu sana ni flash kwenye mpira hivyo kama wewe ni mpenzi wa mpira inabidi uidownload.
 
Kwa maana hiyo nidownload flash player
 

Attachments

  • 1433341437186.jpg
    1433341437186.jpg
    31 KB · Views: 143
”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5”9Ð5
Hio ni lumia 1320 au 625? Maana zinafanana

Lumia 1320 ni around 500,000 ila huwenda imeshuka

Lumia 625 nafkiri itakuwa around 250,000
 
Hio ni lumia 1320 au 625? Maana zinafanana

Lumia 1320 ni around 500,000 ila huwenda imeshuka

Lumia 625 nafkiri itakuwa around 250,000

Hiyo ni 1320... Je ina wireless charging mode kweli? Au .... Nataka niagize msimu wa sikukuu za xmas .
 
Back
Top Bottom