Natafuta infrared sensors au movement sensors

MchunguZI

Platinum Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
4,048
Reaction score
2,239
Kwa yeyote anayefahamu muuzaji wa sensors za infrared au wengine wanaziita movement sensors, naomba anijulishe pamoja na bei yake. Tafdhari!
 
Mkuuu, infrared sensors.sio movement sensor, ila waweza make a movement sensor kwa kukusanya device kama infrared sensor, ambayo itasens movement kwa kuchek mabadiliko ya energy kweny suroundings. Bongo hapa sijawahi ziona may uagize, nakumbuk way back nafanya project nilifanya kitu kama hiki..

Ila after kuzikosa infared sensor nikatumia photo darlington transistort iliende ku trigger diac
 
Kwa yeyote anayefahamu muuzaji wa sensors za infrared au wengine wanaziita movement sensors, naomba anijulishe pamoja na bei yake. Tafdhari!
Mkuu.
Nimeku-PM namba ya mtu unapoweza pata hivyo vitu.
Kila la heri.
 
Back
Top Bottom