habari za asubuh...wakuu ninatumia tecno m3 lkn ina shida moja nikitaka kuupdate app nilizonazo au kudownload nyingine inaniambia hivi..'error download' niliambiwa nifute app ambazo sizitumii baada ya kufanya hivyo tatizo limeendelea je nifanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.