Msaada wa link wadau...

Msaada wa link wadau...

Elai

Senior Member
Joined
May 26, 2011
Posts
156
Reaction score
11
Ninaomba msaada wa link inayoweza kunipeleka ku-download drivers zinazoweza kufanya kazi kwenye printer yoyote. Iwe ni ndogo tu (light weight). Nimepekua sana nimeshindwa kupata.Ninatumia windows 7 starter, 32 bit.Ninatanguliza shukrani kwa msaada wenu. Ahsante.
 
Unayo hio printer? Au unatafuta tu uwe nayo. Windows ina driver zake za kuprint inakuja nazo
 
Back
Top Bottom