msaada

msaada

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Hi,salam Zenu wanajamvi .
Ningependwa kujuzwa swala hili ,kwa kuwa simu zinaundwa kwa material yanayozidiana kiuimara na ubora je ni material yapi ambayo ni ya juu zaidi kiubora na ambayo ni chini zaidi kiubora na Yale kati!
Ntawezaje kutambua kuwa simu Fulani INA material ya aina fulani?
 
Material ukimaanisha ya nje? Kuna
-plastic
-polycarbonate (aina ya plastic)
-alluminium
-glass

Hayo ndo hutumika sana ila kiubora zaidi polycarbonate kwangu ndio bora, inatumika kwenye simu kama lumia, galaxies nk

Kimuonekano na feel ukishika simu alluminium na glass ni nzuri.

Kama umemaanisha material vitu ambavyo vipo ndani ya simu then vipo vingi sanaaa
 
vya ndani kaka mkwawa


Kwa ndani simu (au micro computer device yoyote) imetawaliwa zaidi na SemiConductors (Semiconductors inajumuisha TRANSISTORS, DIODES (Power,Zener,Led etc), INTERGRATED CIRCUITS-IC /CHIPS). Components zingine ni kama vile Resistors,Capacitors,inductors etc. Pia Kuna speakers,Mic, Sensors,TouchInput, Screen na camera etc (hizo ni input and output devices)

Kikubwa zaidi kinachofanya ubora wa simu kwa ndani ni Chipsets ambazo hutengeneza na madini ya GERMANIUM na SILICON (Madini haya yanapatikana zaidi Nchini CONGO -DRC) , Namna ya uchakataji wa haya madini na kuyaweka katika muundo fulani ndio kitu kinachotofautisha kati ya simu fulani na simu fulani.
 
nahis kama kuna mwendrlezo

kaka nitapita fasta maana ni kitu kirefu sana umeuliza

camera
angalia vitu hivi

1.sensor- hii inapimwa kwa sehemu jinsi inavyokaribia moja ndio jinsi inavyokua nzuri na ndio kitu muhimu zaidi kwenye camera mfano 1/1.2 hii ni sensor ya nokia 808 ni kubwa sababu inakaribia moja. 1/1.5 hii ni ndogo, 1/2.5 hapa inazidi kuwa ndogo, 1/3.0 haka ni kadogo zaidi.
2.megapixel-kuanzia 2mp inatosha
3. flash- siku zote xenon flash ni bora kuliko led flash

sauti
speaker- speaker zinazotoa stereo ni nzuri kuliko mono
mic- zenye noise cancelation ni nzuri

display
1.led vs lcd- zote ni nzuri, lcd ndio zinatumika sana epuka tft lcd quality yake ndogo na pendelea zaidi ips lcd ni nzuri.
2. resolution- kioo hadi 4.2 inches (480x800) kioo hadi 4.9 inches (1280x720) kioo hadi 6 inches (1920x1080)
3. mwanga wa kioo- unapimwa kwa nits jinsi unavyokua mkali ndio unavyoweza itumia kwenye jua.
4.protection- display yenye gorilla glass ni nzuri zaidi

memory
ram- karibia zote zinafanana
internal storage- zinatofautiana speed yenye speed zaidi ndio ipo fast zaidi

processor
kwa android cortex zinatumika sana
1.very powerfull processor- cortex a57, cortex a72
2.powerfull processor- cortex a15, krait
3.good processor- cortex a53
4. slow processor- cortex a7
zipo nyingi ila hizo ndio maarufu.

other communication
1.bluetooth- angalia version zake kuanzia 4 ndio nzuri inasave sana energy
2.modem- atleast iwe na speed ya 21mbps
3.sensor- kuwe na accelerometer, proximity, compass

kuna mambo mengi kaka ni ngumu kuyakumbuka yote kwa pamoja, niulize tokea juu kitu usichoelewa nitakielezea zaidi
 
nimekupata kaka sasa kwa mfano hi I smartkicka inasimamia wapi kiubora manake b4 nilikuwa na h5 ila naona kimatumiz ni mbovu ukilinganganisha na smartkicka
 
nimekupata kaka sasa kwa mfano hi I smartkicka inasimamia wapi kiubora manake b4 nilikuwa na h5 ila naona kimatumiz ni mbovu ukilinganganisha na smartkicka

kaka simu ya 70,000 unategemea nini? kila kitu ni kidogo kuanzia ram, kioo nk

download cpu-z itakuonesha baadhi ya vitu vya simu yako then take your time google kimoja kimoja utaelewa.
 
Battery
1400 mAh
Standby Time: 433h(2g) / 325h
(3G)Hours
Talk Time: 6.8(2G) / 2.8(3G)
Hours
CPU
1GHz Dual-Core MT6572
Camera
Yes
Connect
GPRS / EDGE / 3G / HSDPA /
HSUPA
Bluetooth
GPS
USB
Wirless LAN
Display
3.5 Inch, 262k TFT Color
Touchscreen
Resolution: 480 * 320
Memory
RAM: 512 MB
Onboard: 4 GB
Memory Card: microSD, up to 32
GB
Operating System
Android 4.4
Size
Width: 112 mm
Height: 62 mm
Depth: 12 mm
Weight: 100g
Support
Colors: Black and White
Radio: FM
Share this:
 
Back
Top Bottom