Msaada Tafadhari, RC Univers 22 Remote Control Mannual

Msaada Tafadhari, RC Univers 22 Remote Control Mannual

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Wapendwa wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye Manual Book ya remote RC Univers 22. Nina kisimbusi kimekufa remote yake. Kuna mpwa wangu aliniletea remote hii bila mannual book yake amboyo nahisi itakuwa pia na code list.

Nimegoogle napata RC Univers 23.
 
sasa umejaribu hio 23 imeshindikana?

Ndio,nimeshindwa. labda nakosea sijui.Ninafuata maelekezo lakini hola. Inaonekana kama kuna tofauti kubwa kimsingi baina ya Univers22 na 23. Univers23 ina display wakati hii yangu haina.
 
Back
Top Bottom