This procedures will guide you to install Whatsapp messenger on your non-supported java phones like the Nokia Asha 200, Asha 205 and any other non-supported java phones.
Please take note you need...
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje??
Pia nataka nimchukulie wife tablet...
Natanguliza shukrani kwanza , naombeni mnisaidie nifanyaje maana simu yangu sikuitumia takribani miezi 4, kwasabu ya kuwa na ubovu wa betri na sasa betri imepatikana nikaiweka alafu nikacharge...
Inverter zenye feedback ni zile ambazo huendelea kutoa constant voltage licha ya umeme wa battery kuwa unashuka.
Kwa kawaida unavyokuwa unatumia inverter battery hupungua voltage taratibu.
Hivyo...
Kwa waliopata ishu kama hii maelezo kidogo.
Mana nampigia mtu naambiwa simu yake haina salio lakutosha, sasa inamaana angekua nalo salio angeliwa yeye au mimi ?
Na hii ni huduma mtu anajiunga au...
Hii PC ina matatizo haya matatu.
1. Standy by icon not active.
2. Inachukua muda mrefu kuwaka, na niki'restart, haiwaki mpaka nisubiri baada ya nusu saa ndio niiwashe tena.
3. Mwanga wa screen ni...
Wadau, Mimi nina smartphone yangu ya Huawei nimeinunua Tigo ila nataka niitumie kwa Voda.
Je inawezekana kubadilishwa mtandao kwenda Voda bila simu kupoteza ubora wake?
Asanteni.
Naomba nielekezwe jinsi ya kudownload IDM katika laptop yangu aina ya HP yenye window 7. Niliifuta bahati mbaya IDM sasa kila nikidownload inataka niweke serial number.Mwenye kujua naomba...
Wakuu airtel washafanya yao tayari wamepunguza ukubwa wa vifurushi wa OMG vyote jaribuni kucheki maana kila kukicha hali inakuwa mbaya kwenye swala la internent wengine ni watoto wa maskini
Wadau wa masuala ya IT na Real Estate hapa Tanzania.
Tumetengeneza android app inayorahisisha mchakato wa upatikanaji wa (kupanga na kuuza) nyumba, ardhi, ofisi n.k
Kuona demo bonyeza HAPA...
Wakuu niaje,
Ni muda mrefu sasa toka nimepost kitu muhimu na useful pia; Well sina jipya sana bali nilikua tu natoa tu kama habari ya project ambayo nimejipa kama challenge kwangu mimi mwenyewe na...