Wakuu husika na kichwa hapo Huku nn simu ya lg g1 imedondoka then screen imepasuka so nahitaji screen nyingine je ntaipata wapi na cost ni kiasi gan? thankssss..
Ninatumia Nokia Asha 210 lakini kila napojaribu kuangalia salio inaonyesha ujumbe huu "Cannot be dialled without account"
Msaada nifanye vipi ili niweze pata kuirekebisha?
Salaam wazee wa Tech
Naweza pata mtu anayeweza tengeneza database system ambayo inaweza kutuma sms and email kwa baadhi ya individual ambao wapo katika hiyo system pia huo ujumbe unaotumwa...
Je Computer yako imekuwa Slow ghafla?...
Kama wewe ni mtumiaji wa internet sana, haswa haswa kama unapenda kuDownload Pirated SOftware, (KeyGens,Activators,Loaders... etc). Software hizi nyingi...
Tunahitaji content URL za TV channels za Tanzania zinazopatikana au zenye coverage kwenye maeneo mengi nchini Tanzania.
Kwa anaye fahamu naomba atusaidie.
Asante
habari za jioni wakuu leo kuna kitu nataka kukijua ivi kwa zile movie mfano unakuta m2 mmoja anacheza sehemu mbili alafu wanainteract mfano kushikana mikono mikona kupigana nk wakiwa eneo moja pia...
Habar za majukumu wakuu
plz naomba msaada wenu sim yangu ni nokia asha 200 so naomba mwenye maujuz ya kuinstall whats app kwenye nokia asha anisaidie plz
shukran
snipa
Wadau nimetoka android nipo huku sasa nimezoea kusoma pdf kwa WPS sasa huku naiona adobe reader tu.naomba kuuliza hakuna njia ya kusoma pdf file kama kule kwenye android? Maana inshu ya kushindwa...
Tafadhalini wanajamvi naomba msaada kwa anaye fahamu jinsi ya kudownload game ya need for speed ii, nina pc yenye WINDOW 7, au kama kuna mtu anayo naomba anipatie, asanteni
Heshima kwenu wadau.
Nimedunduliza vihela vyangu miaka na miaka.. nimepanga nichimbe kisima kuepukana na drama za dawasco na mabomba yao ya mchina.
Nimeita wapimaji (DDCA,pale chuo kikuu)...