DISPLAY CONTROLLER
A data processor has a 6-line bus configured as 4 lines for data, 1 for the clock and 1 for status. The status line outputs a pulse each time the data on the bus changes, the...
Habari wakuu
Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181.
Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played".
Naombeni...
Habari ya jioni wakuu.
Nina tatizo na nnahitaji utaalamu wenu. Kuna uwezekano wa kuifanya s4 yangu isiwe ina dim (kitendo cha mwanga kupungua) kabla ya kuzima?. Maana screen ikikaa bila kutumika...
Habar wakuu
natumia android ipo rooted.. nisaidie app ambayo naweza kuedit picha in high quality.. yaan iwe imesimama zile picha za wasanii jinc zilivyo.. kuondoa background na kuweka...
Wanajamvi nina siku nyingi nilikuwa sijaingia kwenye menu ya voda leo nimeingia nimekutana na huduma ya wajanja night sasa kama kuna mtu alishawahi kuitumia naomba anijulishe wanatoa unlimited au...
Ni HP desktop, windows 7, juzi tu ilibadilishwa windows lakini tatizo limeanza tena.
Yaani nikiwasha inaanza ku-count numbers kona ya juu kushoto mpaka 1024,inaonesha nibonyeze F1 to BOOT, inaweza...
Android M imetoka juzi juzi, lakini imeonekana kuwa na bugs kibao tu.
Review yangu binafsi.
-Jana nilifanikiwa kueka hii android M kwenye N5.
Baada yakukamilisha process nzima...
Kampuni kubwa ya vifaa vya kielektroniki duniani Apple, inasemekana imeiba mawazo ya wapinzani wake kama Samsung, Google na Microsoft ili kufanya maboresho katika software platforms za bidhaa...
Wadau wa jukwaa hili.
Heshima zenu.
Naomba msaada kama unawezekana. Je, inawezekana mtu ukazuia document yako isiweze kucopiwa na mtu ikiwa katika word format? Unafanyaje? Mimi najua kuconvert...
Habarini jamani
Naombeni msaada kwa anayefahamu kwa maana ninatumia simu aina ya huewei y 600 inajaribu kuinstal programs katika play store ina niandikia no space available alafu nikaingia kwenye...
Wakuu nilikuwa natumia app ya JF kwenye IPad ikawa inazingua, ilikuwa hairefresh kwenye "new posts", nikaamua kuidelete ili niidownload upya, kila nikisearch kule app store naambiwa "no result"...