Wakuu naomba utambuzi wenu. Kuna simu yenye jina hapo juu inauzwa nimeipenda kutokana na umbo lake maana ni flat hivi. Lakini ina kasoro katika screen touch kuna ufa umejitokeza sasa nahisi...
Habarini ndugu zangu, wenzangu marafiki zangu wa JF, mimi natafuta Software ya Matlab Ver 7.12 for win7 na system yangu ni 64-bit. Naomba kwa yeyote ambaye anafahamu ni wapi naweza kuipata...
Habar wadau. Natumia simu tajwa hapo juu , internal memory ya hii simu ni 4gb ambayo inanikaba sana kwenye swala ya kuupgrade na kuinstall some new app. Je ukiachana na kuroot kuna njia nyengine...
Habari zenu wana JF naombeni kujuzwa jinsi ya ku-root simu maana kuna baadhi ya apps nikifungua naambiwa nii-root kwanza alafu ndio niweze kutumia app hizo!!
Wadau naombeni msaada nina laptop yangu aina ya DELL. LATITUDE D 620.nikiwasha bila ya kupachika chaja inawaka vizuri tu lakini nikipachika chaja hiyohiyo inazima hata ikiwa imewaka nikiweka chaja...
Jamani naandika final yr undergraduate project: an sms based examination result checking system; yaani mtu anatuma let say id ya exam, semister na year of study pamoja na password then anapata...
:attention:
I have more than 3 years of Qt development experience (DB programming such as MYSQL PostrgreSQL SQLITE,serial programming & Network programming) . I worked on all platforms supported...
Jamani wale walofanyiwa usaili kwa jimbo LA temeke Vipi
Nasikia majina yenu tayari yapo katani
Ni kweli
Naombeni mnithibitishie kwa hilo tafadhali wana jf
Habari za jioni wadau,naombeni msaada katika laptop yangu toka juzi kila nikiingia ktk websites tofauti tofauti nakutana na maneno kama picha zinavyoonekana.Natanguliza shukrani
BlackBerry ana mpango wa kutengeneza smartphone itayotumia Android OS. Je! simu hii italeta msisimko wowote kwa watumiaji wa smartphones? na pia Blackberry alikuwa akifanya mambo gani muda wote...
Kwa wapenzi wa iOS , iOS 9 beta iko out ,nimeweka kwenye phone yangu iko cool sana . Hii imetoka Kwa ajiri ya developers but mtu wa kawaida unaweza kuiweka Pia kupitia iTunes . Ni upgrade nzuri...
Huwa ninapigiwa simu Mara kwa Mara na makampuni nisiyoyajua wakitaka wafanye survey kuhusu maisha yangu kwa kuniuliza maswali mbali mbali kama unapenda muziki gani, kwa wiki unasikiliza muziki...
Hi All,
Naomba msaada wa kutambua galaxy note tab nzuri kwa ajili ya gaming kwa kijana wangu with affordable prices! naitaj something with good value for money na possibly wapi labda naweza ipata...
wakuu!
msaada kwa mwenye cd za program muhimu kama windows 7,xp,8 obunt,antivirus na zingine muhimu anisaidie nimepoteza poch ya cd kwenye harakati za mjini. kama unaishi bagamoyo road na maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.