An sms based application - msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

An sms based application - msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Developer, Feb 27, 2011.

 1. D

  Developer JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Jamani naandika final yr undergraduate project: an sms based examination result checking system; yaani mtu anatuma let say id ya exam, semister na year of study pamoja na password then anapata matokeo yake kwenye simu yake. Wadau naomba mnisaidie mawazo nimestuck kwenye methodology kwani sa ivi ndo naandika proposal
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  komaaaa mwana proposal tu ushaanza kudeka sasa project yenyewe itakuwaje?
  ebu weka ttachment y hiyo proposal kwanza usikute hata hujaandika kitu
   
 3. D

  Developer JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Natumia cm, comp haina net, ntafanya hivyo kesho
   
 4. Dubo

  Dubo JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 5. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  It needs super engeneers. Jaribu kuangalia Broadcom.com - Home kama unaweza ukajifunza kitu hapo.
   
 6. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I Wish to Differ...

  It doesn't need super engineers. It just needs 'smart' and 'innovative' peers.

  Check out RapidSMS / SMS Application Framework. Look at the case studies - how sms has helped in Africa. Start from there...

  Hope it helps

  B.P (2010)
   
 7. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Bado unatumia simu au kesho ndo haijafika.?
  Teh teh kwa style hii naona IT proffesional wengi wana allergic na documentation.

  Nilijua tu hata hiyo proposal hujaandika hata paragraph tatu. Unataka utafuniwe na kumezewa kila kitu.

  Maana nzima ya kuandika proposal ni wewe ujifunze kwa kufanya research.
  Maana nzima ya project ya shule ni wewe ufanye mambo kwa msaada kidogo.

  Sasa itakuwa vizuri ukiweka ulichofanya ili watu wakupe mawazo na kuongeza na kukukosa kuliko watu wakupe mawazo yao ambao mengine yanaweza kuwa tofauti na kile unachotaka kufanya.

  Mwanafunzi bora anandika proposal regardess ina makosa au haina anaweka hapa watu wanampa mwanaga kuliko kuuliza tu.

   
 8. D

  Developer JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  mkuu sikutake serious ngoja niiweke
   
 9. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  @BrainPower: I`m thankful for that syntatic correction. So kwa hapa Tanzania unadhani tumesha-develop hao smart & innovative peers? Na shughuli yao kubwa hasa inakuwa ni nini??
   
 10. D

  Developer JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  mkuu zing, proposal hiyo, though bado ni first draft
   

  Attached Files:

 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hayo ndo mambo mwana usijali sana hata kama ni 1st draft wadau wakiona umefanya kitu wakisoma wanaweza kukupa mawazo mzuri

  kwenye objective kuna kitu unatakiwa kuandika. I mean objective ya proposal yako na hata final project ni zaidi ya uliyotaja.

  kumbuka hii siyo poposal kwa ajili real life project ambayo ni lazima upate real working product mwishoni. Ni student proposal ambayo unatakiwa kijifunza process, technology,tools na implimentations zake. So nadhani objective za porject na rpoposal yako ni zaidi ya hiyo uliyotaja.

  So wakati unaimpliment hiyo SMS base appliction utakuwa kama aunafanya research na unajifunza kwa vitendo. In the process unaweza kukutana na matatizo amabyo nayo pia utatakiwa uyaandike kwenye project na kama uliyatatu uandike pia . Ingekuwa ni project ya kweli. haya mambosio muhimu but for student ndo mambo yanayokupa maksi kama kweli instructor yuko makini

  Kuhusu methodology kwa sabbu ni for learning purpose wakati utafuta hatua zote za SDLC kutokana na time(sijui kwako ina muda gani), knowldge yako au experince yako kwenye past similar project unaweza kuandika kuwa katika mazingira ya project halisi ungetumia may be

  • RAD
  • SSADM
  • Agile
  • etc
  But kwangu kwa student rpoposal SDLC ni basic hata hizo methodology nyingine zinatumia hiyo hiyo SDLC ila kwa approach tofauti.

  katika gant chat ambayo naamin inatakiwa kuwa one of the attacment katika proposal yako utaonyesha

  1. Project planning and feasibility Analysis-

  • Unaweza Assume proposal yako ni moja ya deliverables za stage hii. Si mbaya ndani ya proposal uweke kipengele cha cha project plan. Ndani ya kipengele cha project plan unaweza kutaja sub vipengele kama resources ( computer, vitabu, istructer) utazaotumia Muda, kiasi cha fedha. Nb kuna baadhi nimeona umevitaja tayari
  KUANZIA HATUA YA PILI HAPA NI KAMA UMESHAANZA PROJECT

  2.Systems analysis, requirements definition- Once proposal yako ikikubaliwa ndo unaamza mziki hapa.
  Kila stage lazima iwe na deliverebles in terms of document au document pamoja na rpduct unayodevelop. But for student good documentation will give u gd marks than good product. Hapa stage hii unatakiwa kutumia tools mbali mbali za modeliing kama Use case. Unatakiwa uwahoji( interviewing) na kuongea na wahusika wa chuo chochote unachoweza kuwa na acess

  3. Systems design: Describes desired features and operations in detail, including screen layouts, business rules, process diagrams, pseudocode and other documentation.

  4.Implementation: The real code is written here.

  5.Integration and testing: Brings all the pieces together into a special testing environment, then checks for errors, bugs and interoperability.

  6.Acceptance, installation, deployment: The final stage of initial development, where the software is put into production and runs actual business.

  7.Maintenance: What happens during the rest of the software's life: changes, correction, additions, moves to a different computing platform and more. This, the least glamorous and perhaps most important step of all, goes on seemingly forever.

  Katika hizo hatua saba kila hatua ina visu btask na task zinaweza kuwa na activity na kila task na sutask lazima ziwe documented.

  So kwenye poposal yako unaweza kuchambua zaidi kila hatua ikuwa na visubtask gani na itachukua muda gani. viweke kwenye gant chat
   
 12. Agape Kama G

  Agape Kama G Member

  #12
  Jul 1, 2015
  Joined: Feb 19, 2013
  Messages: 63
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  brilliant idea keep up the good work
   
 13. S

  Software Engineer JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2015
  Joined: Dec 20, 2014
  Messages: 314
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Project ni nzuri.

  Zipo options nyingi za technology ambazo unaweza kutumia ku achieve objectives zako. Cost vs Ability yako kifedha ndiyo main factor.

  Nitaweka mchanganuo wangu baadaye.


  Mpangilio wa proposal yako unahitaji improvement. Cheki sample za software proposal document online
   
Loading...