Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimejaribu kuinstall Deja Vu kwenye laptop ambayo inaendeshwa kwa Windows 8.1. Kila ninaposakinisha (Intall) inakuja mesaji hii "This installation package could not be opened. Verify that the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
My computer keep telling me that the operating system has detected that the cooling fan is not operating properly, continued operation is not recommended and may cause unpredictable behaviour...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada ! Kuna practise nafanya ya ku access internal network pamoja na Web Api. Nimefanikiwa kujua IP zake (wanatumia static IP). Ninapo add kwa command ya ( ip route add 10.XXX.XXX.0/24 via...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuuu naombeni msaada laptop haiwaki kabisa toka Jana. Yaani hata uiwashe haiwaki ila CD ROM inawezekana kufunguka ila screen haiwaki...je nn tatizo na solution yake???laptop ni dell Kuhusu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaamu sana wadau! Jamani nilikuwa nimeinstall window 8 kwenye PC yangu bahati mbaya ika collapse, niliamua kuinstall window 8 tena, lakini baada ya kupiga window local disk D haifunguki...
0 Reactions
5 Replies
999 Views
Wadau vipi Hii 360 security app ni nzuri ufanyaji kazi wake!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fact that will blow your mind!!......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Turbo charger vs super charger
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni mwezi wa 4 toka hii channel, kutoonekana na tumia dish la ft 6, msaada jamani.
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Naomba kujua viwanja vua sabasaba viko wapi waungwana Niko makumbusho stand now Anaejua anisaidie tafadhali
0 Reactions
2 Replies
899 Views
https://youtu.be/7H0K1k54t6A
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nsaada kama unataka kuweka picha whatsapp. Inakuwaje msaada wa kimawazo.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Mimi ni mpenzi wa simu za android, nakiri kwamba huawei ascend P7 na mate 7ni mojawapo ya simu nzuri sana. Kwa wale wapenz wa huawei fungukeni experience zenu hapa
0 Reactions
63 Replies
12K Views
Hellow guys, naombeni msaada wenu wa kuingalia app hii kwa undani kabla sijaifanyia final touches kwa ajili ya kuoweka play store kwa Mara nyingine.Ilikuwepo before but nimeifanyia redesigning ...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zenu wajuzi wa tech na tricks, naomba tusambaziane maujanja kama kuna mtu amefanikiwa kuweka custom ROM kwa simu tajwa hapo juu B-)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nilikua nauliza hivi tecno phantom z mini iko sawa na samsung aina gani kwa kuilinganisha ubora
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habariini waungwana Nina shida nahitaji nisaidiwe kuondoa mapicha yanayotumwa kwenye smartphone yangu upande wa magroup nataka niwe nadownload picha ninayotaka na kuisave kwenye simu yangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
There is constant rivalry between these three giant mobile operation system. It’s been 7 years, and the great iOS vs Android debate rumbles on—in internet forums and real life. But these...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mambo vipi wakuu.. Nahitaji laptop nzuri kwa ajili ya matumizi mbali mbali. Sasa nimeziona HP pavilion na hp elite book series, sasa nauliza ni nzuri? Mimi ni mtu wa internet sana huwa napenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini, Nipo dodoma nahitaji video tutorial za wordpress nadhani ni rahisi ku customize kuliko kuanza from scratch mwenye video naomba tuwasiliane nijue namna ya kuzipata. NB: nipo dodoma mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom